Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt John Pombe Magufuli
Kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa katika majaribio ya kutengeneza vigae mkonge wakati wa mafunzo ya ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu iliyotolewa na NHBRA
Askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza mtoa mada kutoka NHBRA katika mafunzo ya ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu
Mabadiliko ya bei
Nyumba ya mwananchi iliyoezekwa kwa kutumia vigae vilivyotafitiwa na NHBRA huko Madale, Dar es salaam
Mafundi wakiwa katika hatua ya mwisho ya uezekaji wa nyumba ya kuishi huko Kigamboni, Dar es salaam
Kazi ya upauaji wa nyumba ya mwananchi kwa kutumia vigae vilivyotafitiwa na NHBRA ikiendelea huko Kigamboni, Dar Es Salaam
Sehemu ya nyuma ya jengo la Ofisi ya GPSA Manyara lililojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana
Nyumba ya mwananchi iliyoezekwa kwa kutumia vigae vilivyotafitiwa na NHBRA huko Mbezi, Dar es salaam
Muonekano wa karibu wa nyumba iliyoezekwa kwa kutumia vigae vilivyotafitiwa na NHBRA
Muonekano wa karibu wa ukuta wa nyumba uliojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana yaliyotafitiwa na NHBRA
Kazi ya upauaji wa nyumba ya mwananchi kwa kutumia vigae vilivyotafitiwa na NHBRA ikiendelea huko Mivumoni, Dar Es Salaam
Nyumba ya mwananchi iliyojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana huko Bagamoyo Mkoani Pwani
Nyumba za kuishi zilizojengwa na kuezekwa kwa kutumia teknolojia zilizotafitiwa na NHBRA huko Chamazi Jijini Dar Es Salaam
Askari wa Jeshi la Magereza wakifanya setting ya nyumba katika mafunzo ya ujenzi wa nyumba kwa kutumia matofali ya kufungamana yanayotolewa na NHBRA
Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa katika mafunzo ya ufyatuaji wa matofali ya kufungamana katika ofisi za NHBRA
Washiriki wa semina ya ''Adequate Housing'' kutoka Uganda, Kenya, Mozambique na Zambia wakipata maelezo kutoka kwa mtumishi wa NHBRA juu ya teknolojia mbalimbali za ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu zinazopatikana hapo
Washiriki wa semina ya ''Adequate Housing'' kutoka Uganda, Kenya, Mozambique na Zambia wakifanya majaribio ya kufyatua tofali la kufungamana walipotembelea ofisi za NHBRA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHBRA akitoa hotuba ya ufunguzi kwenye semina ya uhamasishaji kwa watumishi wa Wakala kwenye ukumbi wa UDBS-UDSM
Upauaji wa nyumba kwa kutumia kigae kilichotafitiwa na NHBRA ukiendelea katika nyumba ya mteja huko Kihalaka, Bagamoyo
Wafanyakazi wa NHBRA wakitoa maelezo juu ya mashine ya kutengenezea vigae kwa mwananchi aliyetembelea banda wakati wa maonesho ya Sabasaba
Wananchi waliotembelea banda la NHBRA katika maonesho ya Sabasaba wakipata maelezo juu ya huduma zipatikanazo NHBRA kutoka kwa wafanyakazi wa Wakala
Mwananchi akipima urefu wa fremu ya zege ya mlango alipotembelea banda la NHBRA katika maonesho ya Sabasaba
Wananchi waliotembelea banda la Sabasaba wakiangalia jinsi mashine ya kutengenezea vigae inavyofanya kazi
Mwananchi akiangalia ujengaji wa sakafu ya gorofa ya gharama nafuu katika banda la NHBRA kwenye maonesho ya Sabasaba
Washiriki wa Maonesho ya Sabasaba kutoka Wakala Wa Taifa Wa Utafiti Wa Nyumba Bora Na Vifaa Vya Ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu katika banda la Wakala
Baadhi ya wananchi wakiangalia vigae vilivyoezekwa wakati walipotembelea banda la NHBRA katika maonesho ya Sabasaba jijini Dar- Es -Salaam
Mafundi Sanifu wa NHBRA wakijenga ukuta kwa ajili ya majaribio ya ujenzi wa plasta kwa kutumia majani ya mpunga
Fundi Sanifu wa NHBRA akiseti tofali kwa ajili ya ujenzi wa kuta ambayo inafanyiwa utafiti
Uzio uliojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana katika ofisi za NHBRA
Wafanyakazi wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) wakiwa katika maandamano ya siku ya wafanyakazi duniani 2018 yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Uhuru Dar es salaam
Wananchi waliotembelea ofisi za NHBRA wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi kuhusiana na vigae vya kuezekea
Wananchi wanaopatiwa mafunzo ya utengenezaji wa vigae katika ofisi za NHBRA wakiwa katika hatua za utengenezaji wa vigae hivyo
Wanakikundi wa kikundi cha Mabadiliko Fasta Mpendae cha Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar wakiwa katika mafunzo ya ujengaji wa kuta kwa kutumia matofali ya kufungamana katika ofisi za NHBRA
Naibu Waziri wa Wizara Ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.Angelina Mabula akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHBRA Arch.Geofrey Munyaga alipotembelea ofisi za NHBRA leo
Naibu Waziri wa Wizara Ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.Angelina Mabula akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya NHBRA alipotembelea ofisi za NHBRA leo
Baadhi ya vyoo vilivyofanyiwa ukarabati na NHBRA katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Tabora
Wanawake wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi NHBRA wakiwa katika maandamano ya siku ya Wanawake duniani 2018
Baadhi ya wakinamama wa NHBRA wakiwa kwenye maandamano ya siku ya Wanawake duniani yaliyoadhimishwa kimkoa katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam
Wanachama wa kikundi cha Hyperactive Solution Centre wakiwa katika mafunzo ya vitendo ya utengenezaji wa vigae vya kuezekea nyumba katika maabara ya NHBRA
Wanachama wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Hyperactive Solution Centre wakiwa katika mafunzo ya utengenezaji wa matofali ya kufungamana katika ofisi ya NHBRA
Jengo la utawala lililofanyiwa ukarabati na NHBRA katika shule ya Sekondari ya Wavulana Tabora
Sehemu ya ndani ya Maktaba iliyokarabatiwa na NHBRA Shule ya Sekondari Tabora Wavulana
Sehemu ya nje ya baadhi ya madarasa ya Shule ya Sekondari Tabora Wavulana yaliyofanyiwa ukarabati na Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA)
Bweni la Wasichana Shule ya Sekondari Tabora Wasichana lililokarabatiwa na NHBRA
Sehemu ya ndani ya jengo jipya la kisasa la Maktaba lililojengwa na NHBRA katika Shule ya Sekondari Tabora Wavulana
Jengo jipya la kisasa la Maktaba liliojengwa na NHBRA katika shule ya Sekondari ya Tabora Wavulana
Maabara ya Kemia iliyofanyiwa ukarabati na NHBRA katika Shule ya Sekondari Tabora Wasichana
Utengenezaji wa kigae cha mkonge ukiendelea kwa kutumia mashine ya mtetemo ipatikanayo NHBRA
Fremu ya mlango ya zege ikiwa imewekwa kwenye jengo lililojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinatolewa kwenye warsha ya wadau wa Ushirika wa Nyumba nchini kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.Dkt. Angeline Mabulla akifungua warsha ya wadau wa Ushirika wa Nyumba nchini katika ukumbi wa mikutano wa Karimjee Dar es salaam
test
Baadhi ya nyumba za wanachama wa SHIWATA zilizojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana na vigae mkonge huko Mkuranga Mkoani Pwani
Baadhi ya nyumba za wanachama wa SHIWATA zilizojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana na vigae mkonge huko Mkuranga Mkoani Pwani
Nyumba za kuishi za wanachama wa Shirikisho la Wasanii Tanzania (SHIWATA) zilizoezekwa kwa kutumia vigae vilivyotafitiwa na NHBRA
Naibu Waziri wa ardhi Dr Anjelina Mabula akipata maelezo ya huduma zinazotolewa na Wakala wa Taifa wa Utafiti wa nyumba Bora na vifaa vya ujenzi (NHBRA) alipotembelea Banda la wakala Katika Maonesho ya Nanenane viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mwananchi akipata maelezo ya utengenezaji wa tofali za kufungamana katika banda la Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa ya Ujenzi(NHBRA) kwenye maonesho ya nanenane viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
Ujenzi wa kibanda cha mfano kwa kutumia matofali ya kufungamana ukifanywa na wanasemina waliopata mafunzo kutoka NHBRA huko Nzega Mkoani Tabora
Wanasemina wakitengeneza vigae baada ya kupata mafunzo yaliyotolewa na NHBRA huko Nzega Mkoani Tabora
Wanawake wa NHBRA wakiwa katika picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kimkoa katika viwanja vya Mwembe Yanga Jijini Dar es salaam
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la NHBRA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunguliwa kikao cha Baraza hilo leo
Naibu Katibu Mkuu TUGHE Taifa Mhandisi Amani S.Msuya akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi la NHBRA leo katika ukumbi wa mikutano wa NHBRA
Ujenzi wa ukuta kwa kutumia matofali ya kufungamana ukiendelea katika nyumba ya mwananchi Kibaha Mkoani Pwani
Nyumba ya Mwananchi aliyoijenga kwa kutumia matofali ya kufungamana huko Kibaha Mkoani Pwani baada ya kupata ushauri kutoka NHBRA
Mkurugenzi Mkuu wa NHBRA Ndg. Matiko Samson Mturi akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipotembelea NHBRA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiangalia kibanda cha mfano kilichojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana na vigae mkonge walipotembelea Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiangalia utengenezaji wa Vigae kwenye karakana ya NHBRA walipotembelea Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
Mkurugenzi Mkuu wa NHBRA Ndg. Matiko Samson Mturi akitoa maelezo ya utengenezaji wa vigae kwa kutumia nyuzi za katani kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ilipotembelea NHBRA
Wanafunzi wa shule ya msingi Mavurunza iliyopo Halmashauri ya Ubungo Dar es salaam wakiwa wamekalia madawati yalitolewa na NHBRA katika juhudi za kuboresha hali ya elimu nchini
Jengo la biashara lililoezekwa kwa kutumia vigae vya NHBRA huko Mivumoni jijini Dar es salaam
Nyumba ya mwananchi iliyopo Mivumoni jijini Dar- es salaam iliyoezekwa kwa kutumia vigae vya mkonge vya NHBRA
Jengo la ofisi ya Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara lililojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana
Nyumba ya Mwananchi aliyoijenga kwa kutumia matofali ya kufungamana huko Turiani-Morogoro baada ya kupata mafunzo ya ujenzi kutoka NHBRA
Fundi Sanifu kutoka NHBRA akiangalia kigae cha udongo kilichochomwa katika Kijiji cha Kasanga Wilayani Mufindi wakati alipotembelea Kijiji hicho kufanya utafiti juu ya vifaa vya ujenzi
Wafanyakazi wa Kituo cha Peramiho Mission wakiendelea na utengenezaji wa matofali ya kuchoma walipotembelewa na Watafiti kutoka NHBRA
Mgeni Rasmi wa Baraza la Wafanyakazi la NHBRA ambaye ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndg. Victor Kategere akifungua kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za NHBRA
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la NHBRA wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndg. Victor Kategere
Fundi Sanifu wa NHBRA akipima usawa wa unene wa tofali kwa kutumia Vernier Caliper ili kuweza kujua mlingano wa tofali katika Maabara ya NHBRA
Nyumba ya Ghorofa ya mwananchi iliyojengwa kwa kutumia teknolojia ya matofali ya kufungamana huko Kibaha Mkoani Pwani
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi akipata maelezo ya kazi na tafiti zinazofanywa na NHBRA kutoka kwa Mtumishi wa Wakala katika maadhimisho ya siku ya Makazi duniani 2016.
Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi akiangalia bango linaloonyesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na NHBRA katika kilele cha kuadhimisha siku ya Makazi duniani 2016.
Fundi sanifu akipima uimara wa udongo na uwezo wa kubeba mzigo kwa kutumia mashine ya direct shear katika maabara ya NHBRA
Wanasemina wakiwa katika mafunzo ya vitendo ya ujenzi wa nyumba kwa kutumia matofali ya kufungamana huko Msoga mkoani Pwani
Washiriki wa Mafunzo ya Ujenzi kwa kutumia teknolojia ya Tofali za kufungamana wa Chance to Change Sober House Dar es salaam wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao baada ya mafunzo hayo
Wananchi wakiwa katika mafunzo ya ufyatuaji wa matofali ya kufungamana katika ofisi za NHBRA
Ujenzi wa Chumba cha mapokezi kwa kutumia matofali ya kufungamana ukiendelea katika Kituo cha Afya cha Mwendakulima Kahama-Shinyanga
Fundi sanifu kutoka NHBRA akitoa maelezo ya upimaji wa udongo unaofaa kwa kutengenezea matofali ya kufungamana kwa Spika Mstaafu Mh.Anne Makinda alipotembelea banda la NHBRA kwenye maonesho ya nanenane 2016 Mkoani Lindi
Wajumbe wa Bodi ya Manunuzi wa NHBRA pamoja na Wakufunzi kutoka PPRA walioratibu semina ya mafunzo juu ya sheria na taratibu za manunuzi serikalini katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) yaliyofanyika Agosti 2016
Mwakilishi wa NHBRA akitoa ufafanuzi wa matumizi sahihi ya vigae mkonge kwa mwananchi katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima kwa mwaka 2016 mkoani Lindi
Ukuta wa Nyumba uliojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana Mikocheni-Dar es salaam
Matofali ya kufungamana
Mashine za kutengenezea matofali ya kufungamana
Jengo la Ofisi la Ofisi za Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara liliojengwa kwa kutumia matokeo ya tafiti zilizofanywa na NHBRA
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya wafanyakazi wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi alipotembelea ofisi hizo
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue akitoa tofali la kufungamana kwenye mashine alipotembelea ofisi ya Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
Nyumba ya kuishi iliyojengwa na NHBRA kwa kutumia matofali ya kufungamana na vigae mkonge huko Mikocheni Dar es salaam
Washiriki wa Mafunzo ya Ujenzi kwa kutumia teknolojia ya Tofali za kufungamana wakifuatilia mafunzo kutoka kwa mwezeshaji Mhandisi Elias Kwanama
Nyumba za wafanyakazi wa Halmashauri ya wilaya mvomero zilizojengwa kwa kutumia teknolojia ya matofali ya kufungamana
Wananchi wakipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa NHBRA kuhusu vigae mkonge katika banda la NHBRA Sabasaba 2016.
Wafanyakazi wa NHBRA wakiwa katika maadhimisho ya sikukuu ya Mei Mosi yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es salaam
Nyumba ya Askari wa FFU Ukonga -Dar es salaam iliyojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana na vigae mkonge.
Maduka 72 yaliyojengwa kwa ushirikiano wa NHBRA na NHC huko Ipogoro Iringa kwa kutumia matofali ya kufungamana
Jengo la maabara ya Shule ya Sekondari Mazinge wilayani Kahama iliyojengwa kwa kutumia matofali ya nayofungamana ikiwa ni sehemu ya kusambaza teknlojia hiyo
Nyumba ya wafanyakazi wa Jeshi la Polisi -Mavota wilayani Biharamulo iliyojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana
Nyumba zilizizojengwa kwa ushirikiano wa wananchi huko Miyuji mkoani Dodoma kwa kutumia matofali ya kufungamana na vigae mkonge
Ukuta wa shule ya sekondari Mwendakulima-Kahama uliojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana chini ya usimamizi wa NHBRA
Wanasemina wakishiriki mafunzo ya utengenezaji wa matofali ya kufungamana huko Izigo Wilayani Muleba Mkoa wa Kagera
Nyumba za kupangisha zilizojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana na kuezekwa kwa vigae mkonge chini ya usimamizi wa NHBRA huko Chamazi-Dar-Es-Salaam
Mabweni ya wasichana kwenye Shule ya Sekondari Mubaba Wilayani Biharamulo yaliyojengwa kwa kutumia matofali ya kufungamana ikiwa ni sehemu ya usambazaji wa teknolojia hiyo
wanasemina wakiwa katika mafunzo ya vitendo ya upauaji wa nyumba kwa kutumia vigae mkonge huko Msoga mkoani Pwani
Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
Po Box 1964
Mwenge, Dar es Salaam
Nukushi : +255222774003
Simu: +255222771971
Barua pepe: dg@nhbra.go.tz, dawatilamsaada@nhbra.go.tz Siku za kazi Jumatatu - Ijumaa Masaa ya kazi 01:30-09:30