Ministry of Lands, Housing & Human Settlements Development

National Housing & Building Research Agency

How Do I

  • Nitawezaje kununua mashine ya vigae au ya matofali ya kufungamana kama niko Dar es Salaam?

    Unatakiwa uingize hela ya mashine kwenye akaunti ya NHBRA ambayo ni A/C No. 20101100130 National Micro Finance Bank, baada ya kufanya malipo hayo utapaswa kufika katika ofisi za NHBRA bila kusahau risiti yako ya malipo uliyopewa benki.

  • Office Location

    Copyright © 2025 National Housing & Building Research Agency All Rights Reserved. disclaimer    FEATURES