Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Huduma

Huduma zinazotolewa na NHBRA ziko kwenye makundi yafuatayo;

a) Utafiti kuhusu vyanzo na ujenzi ni pamoja na;

· Vipimo vya maabara vya nyenzo za ujenzi

· Kuendesha semina na mafunzo ya uhamasishaji na vitendo

·Kufanya utafiti wa kiuchumi na kijamii


b) Ushauri

· Kusanifu majengo na kukadiria gharama

·Ramani za majengo mbalimbali


c) Ujenzi

· Usimamizi wa miradi

· Uzalishaji wa nyenzo za ujenzi



Office Location

Copyright © 2024 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA