Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Habari

TAARIFA MUHIMU KWA WATEJA WETU

Tarehe : 25 Sep 2019

lbl_author : NHBRA

Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa kuanzia tarehe 17/09/2019 bei za baadhi ya bidhaa zetu za karakana zimebadilika. Bei hizo mpya ni kama zifuatazo:-

Mashine ya matofali ya kufungamana Tshs 780,000/=

Tofali la kufungamana Tshs 600/=

Kigae Mkonge Tshs 650/=

Kalibu Tshs 37,000/=

Mashine ya vigae Mkonge Tshs 370,000/=

Chaneli za lenta Tshs 45,000/=

Office Location

Copyright © 2024 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA