Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Habari

Maabara ya NHBRA yapata usajili kutoka Engineers Registration Board (ERB)

Tarehe : 30 Apr 2018

lbl_author : NHBRA

Hatimae NHBRA imepata usajili wa Maabara yake kupitia ERB. Wananchi mnakaribishwa kuja kufanya majaribio mbalimbali ya vifaa vya ujenzi kwenye maabara hii. Orodha ya majaribio yanayofanyika inapatikana http://www.nhbra.go.tz/projects/22

Office Location

Copyright © 2025 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA