Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
NHBRA inawatakia heri katika kuadhimisha siku ya Makazi Duniani 2018. Pia inawashauri wananchi kuendelea kutumia teknolojia za ujenzi wa nyumba zilizotafitiwa na Wakala huu kwa kuwa ni rafiki kwa utunzaji mazingira. Aidha inahamasisha wananchi kuendelea kudhibiti uzalishaji wa taka ngumu pamoja na kutumia teknolojia mbadala za kubadilisha taka ngumu kuwa vifaa mbalimbali vitakavyotumika katika matumizi mbalimbali yakiwemo ya ujenzi wa nyumba mijini na vijijini
Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi
Po Box 1964
Mwenge, Dar es Salaam
Nukushi : +255222774003
Simu: +255222771971
Barua pepe: dg@nhbra.go.tz, dawatilamsaada@nhbra.go.tz Siku za kazi Jumatatu - Ijumaa Masaa ya kazi 01:30-09:30