Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Wasifu wa Mkurugenzi Mkuu

DG Profile

Mkurugenzi Mkuu

Dr. Matiko Samson Mturi aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa Wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa Vya Ujenzi (NHBRA) mwezi Februari 2016. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Idara ya Ujenzi kwa miaka 11.
Akiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ndg. Mturi alifundisha na kufanya tafiti katika nyanja ya usimamizi wa ujenzi. Pia alishika nafasi za uongozi mbalimbali zikiwemo Meneja Milki (Desemba 2014 - Juni 2015), Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Uwekezaji na Urakibu Rasilimali (Novemba 2013 - Julai 2015), Meneja Mradi wa STHEP (Oktoba 2009- Julai 2015), na Mratibu wa Miradi wa BICO (Julai 2008 - Oktoba 2009).

Office Location

Copyright © 2017 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA