Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Habari

Mwaka mmoja Madarakani

Tarehe : 07 Nov 2016

labels.lbl_author : NHBRA

Mnamo tarehe 5 ya mwezi wa 11 mwaka 2016 Mheshimiwa Rais wa Awamu ya Tano Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitimiza mwaka mmoja wa kazi katika kuliongoza Taifa letu la Tanzania. NHBRA inaungana na Watanzania wote kumtakia kila la heri Mheshimiwa katika kusukuma gurudumu la maendeleo.

Office Location

Copyright © 2018 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA