Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Habari

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yatembelea NHBRA

Tarehe : 20 Jan 2017

labels.lbl_author : NBRA

Leo tarehe 20/01/2017 Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imetembelea Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Wakala. Kamati hii iliongozwa na Mwenyekiti wake Mh. Mbunge Ndg Atashasta Nditiye akiambatana na wajumbe wake na kupokelewa Naibu Wazir wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NHBRA Ndg.Matiko Samson Mturi.

Office Location

Copyright © 2019 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA