Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Matukio

Siku ya Makazi Duniani

Siku ya Makazi duniani huazimishwa kila Jumatatu ya kwanza ya mwezi Oktoba. Kwa Tanzania siku hii imeazimishwa tarehe 03/10/2016 katika viwanja vya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ikiwa na kauli mbiu ya "nyumba kitovu cha miji." Mgeni rasmi wa maadhimisho haya alikuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi.

Office Location

Copyright © 2019 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA